CHUO CHA UALIMU CHA SHYCOM KILICHOPO MANSPAA YA SHINYANGA CHA KABILIWA NA TATIZO LA VIWANJA VYA MICHEZO A+ A- Print Email Wanamichozo wa chuo cha shycom wakiwa katika mazoezi ya viungo kwa lengo la kujenga afya zao lakini wanalazimika kutumia kiwanja kimoja kwa michezo mbalimbali jambo ambalo limekuwa likiwanyima fursa ya kuendeleza vipaji vyao Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936
Chapisha Maoni