Mkuu wa wilaya ya Shinyanga bi Annarose Nyamubi ametoa wito kwa wasamalia wema kuwaendeleza kielimu vijana wenye ulemavu wa ngozi waliomaliza elimu ya msingi katika shule maalumu ya Buhangija iliyopo manspaa ya Shinyanga.Mkuu huyo wa wilaya ametoa wito huo wakati wa kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa chama cha walemavu wa ngozi Alibno.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top