Meneja mauzo wa kampuni ya TBL kanda ya ziwa bw Malaki amewaakikishia washiriki na wapenzi wa mbio za baskeli kuwa TBL wataendelea kudhamini mashindano hayo.Bw Malaki alisema kampuni yake mwaka huu ni wakumi na 16 kudhamini mashindano hayo na kuongeza kwamba mikoa ya Mwanza,Simiyu na Shinyanga ilishiriki kwenye mbio hizo kwa wanaume na wanawake pamoja na walemavu.alisema wanaume walikimbiza baiskeli kutoka Shinyanga mjini hadi Kahama na kuludi huku wanawake wakitokea Shinyanga hadi Isaka na kuludi sanjali na walemavu kuzunguka uwanja wa Kambarage pamoja na wanawake kukimbiza baiskeli wakiwa na ndoo za maji kichwani.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top