Bw Raymond Kiwesa akitoa salam za mkuu wa mkoa wa Shinyanga kwenye mashindano ya mbio za baiskeli na kutoa wito kwa wakazi wa mkoa wa Shinyanga pamoja na wadhamini kuendeleza mshindano hayo ambay yanapendwa mikoa ya kanda ya ziwa
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top