Janga la njaa lililokuwa linawakabiliwa watoto wenye ulemavu wa ngozi Albino katika kituo cha Buhangija kilichopo manspaa ya Shinyanga. sasa imetoweka baada ya halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kutoa majunia 250 ya mahindi katika kukabiliana na njaa kwenye kituo hicho.Mkuu wa kituo hicho mwl Peter Ajali na kijana mwenye ulemavu wa ngozi bw Khamis Hassan wanaelezea hali ilivyo kwa sasa.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top