Jeshi la polisi linachunguza tuhuma zinazomkabili askofu Eddison Mwombeki wa kanisa la Emmanuel kamanda wa polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Evaris Mangala anasema jeshi lake limepokea tuhuma hizo na linachunguza kwa kina ili kupata ukweli wa jambo hilo
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top