Kulia ni mwalimu wa michezo wa chuo cha Shycom bwana Emmanuel Mgalilo akimfundisha mmoja wa walinda milango(golikipa)



Mwalimu wa michezo wa chuo cha ualimu cha Shycom kilichopo katika manispaa ya Shinyanga bwana Emmanuel Mgalilo akiwasihi wanamichezo wa Chuo hicho kuvumiliana baada ya kutokea mtafaruku miongoni mwao kufuatia kugombea uwanja kwamba utumike kwa michezo gani. Hali hiyo imejitokeza mwanzoni mwa wiki hii kwenye uwanja wa soka wa chuo hicho ambacho kina viwanja viwili pekee ambavyo ni vya soka na pete.

Wanamichezo wa chuo cha ualimu Shycom wakiwafanya mazoezi ya viungo kwenye uwanja mmoja unaotumika katika michezo mbalimbali kwenye chuo hicho kikongwe kilichopo mjini Shinyanga jambo ambalo limekuwa kero na kuzorotesha michezo chuoni hapo
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top