bw Deo Nsokolo mwenyekiti wa kamati ya mafunzo na maadlili ya Utpc akifungua mafunzo ya wajumbe wa kamati za utendaji za vyama vya waandishi wa habari wa mikoa ya Kigoma,Tabora na Shinyanga yaliokuwa yakifanyika mjini Kahama mkoani Shinyanga kwa lengo la kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati za utendaji za vyama hivyo.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top