Askofu mkuu wa kanisa la Fpct David Batenzi asema hali ya elimu nchini inasikitisha  kiwango kinashuka siku hadi siku. Askofu Batenzi alitoa kauli hiyo kwenye sherehe ya miaka 25 ya shule ya sekondari Ummoja inayomilikiwa na kanisa lake.Askofu huyo ameitaka Serikali kutazama mfumo wa elimu kwani umekuwa ukiwakatisha tamaa wa Tanzania na kutoa mfano wa matokeo ya kidato cha nne mwaka jana

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top