Shangwe tupu kwa watoto hawa wa darasa la awali la shule ya msingi Tinde baada ya kufanya vizuri katika sanaa ya uchoraji wa picha mbalimbali na kutoa changamoto kubwa ya kupatiwa elimu na wazazi wao ambao wamekuwa na tabia ya kuwakatisha masomo kwa ajili ya shughuli za uchungaji wa mifugo mkoa wa Shinyanga . | . |
Chapisha Maoni