Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Bw wilison Nkabaku akiwa mwenye tabasam na bashasha juu ya ushindi wa Mgodi wa Mwadui ambao unaleta sifa nzuri katika wilaya ya Kishapu na Mkoa wa Shinyanga kwa kuibuka na Tuzo za Rais juu ya utekelezaji wa shughuli za kijamii na Mazingira
Chapisha Maoni