Home
»
»Unlabelled
» MGODI WA WILIAMSON MWADUI WAIBUKA KIDEDEA NA TUNZO YA RAIS YA UCHANGIAJI KWENYE HUDHUMA ZA KIJAMII KWA KUSHIRIKISHA SERIKALI ZA VIJIJI
Bw Wilison Nkambaku mkuu wa wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga akinyanyua kombe la Tunzo ya Rais wa Tanzania .baada ya kukabidhiwa na Meneja Mgodi wa Wiliamson Mwadui Mkoani shinyanga Bw Charl Barnard ambapo Mgodi huo . Umeshinda katika kushiriki vyema kutoa huduma za kijamii kwa kushirikisha Serikali za vijiji vinavyozunguka Mgodi huo.Hata hivyo tayari Mgodi wa Wiliamson mwaka jana uliibuka na Tunzo ya Rais ya utunzaji wa Mazingira.
Chapisha Maoni