Bi Ethel Mhina akiagana na watoto wanaosoma kwenye darasa la awali la shule ya msingi Didia wilayani Shinyanga baada ya kuwagawia vifaa mbalimbali vya kuboresha masomo yao ikiwa sehemu ya kuboresha elimu na kuwajengea uwezo wa masomo watoto hao.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top